JENGO la Wizara tatu pacha za Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar, Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Vijana Wazee, Wanawake na watoto,
Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sherea
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, lililowekewa jiwe la msingi na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar katika Shamra shamra za Miaka 54 ya
Mapinduzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango
Zanzibar, Khamis Mussa Omar mara baada ya kulikagua jengo la Wizara tatu Pacha
lililopo Gombani Nje ya mji wa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi, jengo la
Wizara tatu Pacha za SMZ, linalojengwa na kampuni ya QBC ambalo linatarajiw
akugharimu Bilioni 7.8, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mpainduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali wakiwemo Wajumbe wa
baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakimsikiliza kwa makini makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa
Chake Chake, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Wizara tatu
Pacha, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali wakiwemo Wajumbe wa baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakimsikiliza kwa makini makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Chake Chake, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Wizara tatu Pacha, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAWAZIRI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi
wakiongoza na waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, wakimsikiliza kwa makini hutuba ya makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif
Ali Iddi, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la jengo la Wizara tatau
pacha, ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KATIBU mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar
Khamis Mussa Omar, akisoma taarifa ya kitaalamu juu ya ujenzi wa jengo la
wizara tatu Pacha za SMZ, huko Gombani Chake Chake ikiwa ni shamra shamra za
miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe:Dk Khalid
Salum Mohamed, akizungumzia mipango ya Wizara yake kwa mwaka 2018, mara baada
ya uwekaji wa jiwe la msingi la Wizara tatu pacha za SMZ, ikiwa ni shamra
shamra za miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chake Chake mara baada ya
uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Wizara tatu pacha, ikiwa ni shamra shamra za
miaka 54 ya Mpainduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment