Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya
Makao Makuu ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana na Wanajeshi wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya Sherehe za
Miaka 54 ya Mapinduzi katika viwanja vya Amaan12-1-2018
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Makao
Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana Vikosi vya
Ulinzi naUsalama vilivyoshiriki gwaride la kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar zilizofanyika 12-1-2018 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama na
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa
alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu wa KVZ Mtoni Zanzibar
MAOFISA wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa
hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya
KVZ Mtoni Zanzibar

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi , wakijumuika na Wapiganaji wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama Zanzibar katika chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili
yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana
kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za
Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akitowa
neno la shukrani kwa washiriki wa gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi
ya Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar, hafla hiyo ya
chakula cha mcha zimefanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa
meza kuu wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Askari wa Kikosi cha JKU Said
Bakari Ali, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment