WAZIRI wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed akikata
utembe kuashiria kuifungua rasmi barabara ya Madenjani Mzambarauni yenye urefu
wa KM 5 mbayo imegharimu jumla ya Bilioni 1.96, ufunguzi huu ni miongoni mwa
shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Pemba, Mohamed Aboud Mohammed, akizungumza jambo na Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe, ikiwa ni shamrashamra
za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed, akitembea kwa miguu kwa ajili ya kukagua uzima
wa barabara ya Madenjani-mzambarauni, mara baada ya kuizindua rasmi ikiwa ni
shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman,
akizungumza katika hafla ya ufunguzi na uzinduzi wa barabara ya
Madenjani-Mzambaraun, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Usafiri Zanzibar,
Mhe:Balozi Ali Karume akizungumzia mikakati ya Wizara yake katika mwaka 2018,
baada ya kuizindua rasmi barabara ya Madenjani- Mzambarauni ikiwa ni
shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na wananchi wa madenjani na
mzambarauni, mara baada ya kuifungua rasmi barabara ya Madenjani-Mzambarauni
yenye urefu wa KM 5 iliyigharimu Bilioni 1.96, ikiwa ni shamrashamra za Miaka
54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed wakiomba dua baada ya kumaliza kuizindua
barabara ya Madenjani-Mzambarauni, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
Waziri Aboud afungua barabara ya Madenjani Mzambarauni yenye urefu wa KM 5
byzanzinews.com
-
0