WAZIRI wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe:Hamad
Rashid Muhammed, akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis, mara
baada ya kuwasili likoni Kojani kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi hanga la KM
KM ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe:Hamad
Rashid Muhammed, akisalimiana na baadhi ya askari wa kikosi cha KM KM, mara
baada ya kuwasili likoni Kojani kwa lengo la kuweka jiwe la msingi hanga la KM
KM, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Kilimo
Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe:Hamad Rashid Muhammed, katikati akiwa amefuatana
na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na
Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Shamata Shaame Khamis, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othama wakimsindikiza Waziri kwenda kuweka jiwe la
msingi, hanga la KM KM ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
WAZIRI wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe:Hamad
Rashid Muhammed, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi hanga
la KM KM likoni Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe:Hamad
Rashid Muhammed akipata maelezo ya hanga la KM KM kojani kutoka kwa Mkuu wa
Mjenzi Kamanda wa KM KM Zanzibar Hamad Massoud, wakati alipotembelea hanga hilo
ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, wakisikiliza taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa Hanga la KM KM likoni
Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, wakifuatilia
kwa makini hutuba ya uwekaji wa jiwe la msingi
hang a la KM KM likoni Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma akisoma
taarifa ya kitaalamu ya ujenzi wa hanga la KM KM Likoni Kojani, kwa niaba ya
katibu mkuu wa wizara hiyo ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya Askari wa kikosi cha kuzuwia magendo
Zanzibar KM KM, wakifuatilia kwa makini hutaba ya uwekaji wa jiwe la msingi
hanga la KM KM likoni Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya Askari wa kikosi cha kuzuwia magendo
Zanzibar KM KM, wakifuatilia kwa makini hutaba ya uwekaji wa jiwe la msingi
hanga la KM KM likoni Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU WA Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman,
akitoa salamu za wananchi wa Mkao wa Kaskazini Pemba, wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi hanga la KM KM likoni Kochaji, ikiwa ni shamrashamra
za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
NAIBU waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,
Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis akizizungumza
na askari wa KM KM mara baada ya kuwekwa jiwe la msingi kwa hanga la Km km
likoni Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
VIJANA wa CCM wakiwa na wanafunzi wa skuli mbali
mbali wakifuatilia hutuba ya uwekaji wa jiwe la msingi hanga la KM KM likoni
Kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe:Hamad
Rashid Muhammed akizungumza na wananchi wa likono Kojani, baada ya kuweka jiwe
la msingi hanga la KM KM likoni kojani, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
HANGA la kikosi cha KM KM likoni Kojani Wilaya ya
Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, lililowekewa jiwe la msingi ikiwa ni ikiwa ni
shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment