Habari za Punde

Maendeleo ya Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mao Zedong Zanzibar.

Picha ya muonekano halisi wa Uwanja wa Kisasa wa Mao Zedong utakapomalizia ujenzi wake unaoendelea kwa kasisi na sasa ukiwa katika hatu ya mwazo ya uwanja mmoja kuwekewa nyasi bandia.
Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Omar Hassan Omar (King) akiwa na wasimamizi wa Ujenzi wa Viwanja vya Kisasa vya michezo mbalimbali  vitakavyokuwa katika uwanja huo. Akizungumza na waandishi wa habari alipofika kutembelea ujenzi huo ukiwa katika hatua ya awali ya uwekaji wa nyasi bandia.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.