Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Afanya Ziara Kisiwani Pemba Kutembelea Hospitali na Kujitambulisha.

 MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzee, Haji Mwita Haji akuitoa maelezo ya hospitali hiyo kwa Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katika ziara yake wakati alipotembelea hospitali hiyo.
WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed, akiuliza masuala juu ya huduma mbali mbali zinazotolewa katika hospitali ya Abdalla Mzee wakati alipokua katika ziara na kutembelea hospitali hiyo.
WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed, akipata maelezo kutoka kwa daktari wa upasuaji katika hospitali ya Abdalla Mzee wakati alipokua katika ziara yake na kutembelea hospitali hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.