Habari za Punde

KICHUYA KUMKABIDHI MSHINDI WA BAJAJI MAFINGA

 Mkazi wa Iringa, Mafinga Ndugu Mathias Edward (25) ambaye pia ni mshindi wa bajaji kupitia promosheni inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa wakishirikiana na kampuni ya mtandao wa simu na wadhamini ya ligikuu Tanzania Vodacom wamemkabidhi bajaji hiyo mnano tarehe tisa mwezi huu. Alizungumza wakati wa makabidhiano yaliyoongozwa na mchezaji wa klabuya Simba Siza KichuyaNdugu Mathias alisema “Niliunganishwa na mjomba wangu ambaye makazi yake hasa ni mkoani Dodoma yeye ni mchezaji mzuri kwahiyo alinishawishi ili na mimi niweze kujiunga nakucheza. Kupitia bajaji hii itanisaidia kubadili maisha yangu na kuanza rasmi kujitegemea kimaisha nikiwa kama kijana nayekaribia umri wa miaka 28. Nikiwa kama kijana msomi mwenye stashahada ya ukutubi nilihangaika sana kutafuta ajira na mwisho ya siku nikaamua kujiingiza kwenye maswala ya kilimo ili kuinuaki patochangu. Niilikuwanachezana SportPesa kwanjiaya USSD ambayo napiga*150*87#, urahisi ambao upo kwenye SportPesa na ndio unaotofautisha na kampuni nyingine za michezo ya kubashirini kwamba viwango vya kampuni nyingine za kubashirini vya juu sana lakini kwa kampuni kama SportPesa viwango vyao ni vizuri, rahisi sana kushindana kila kitu kiko wazi. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya bajaji mchezaji mahiri watimu ya Simba Shiza Ramadhani Kichuya alisema “Kwanza kabisa napenda kukupongeze kwa zawadi hii uliyoishinda kwa kupitia ubunifu wako mwenyewe, ninaimani kuna watu wengi ambao wanatamani siku moja washinde kama wewe ulivyobahatika na inakubidi uwe mfano kwao kwa kuwaelekeza ili nao waweze kubahatika” “Mimi nikiwa kama mchezaji wa timu kubwa inayoshiriki ligi kuu Taanza rasmi kuchezana SportPesa iliniwezekuibuka mshindi siku moja” alimaliza Kichuya

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.