Habari za Punde

Rais Dk Shein asalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinumwi Adenisa mara  baada ya kumalizika kwa sherehe za madhimisho ya kilele miaka 54 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo,[Picha na Ikulu.] 26/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mama Anna Mkapa mara baada ya kumalizika kwa  sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika juzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini  Dodoma (katikati) Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo mara  baada ya kumalizika kwa  sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika juzi katika uwanja wa Jamhuri Jijini  Dodoma
[Picha na Ikulu.] 26/04/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.