Habari za Punde

Uzinduzi wa Mimi na Wewe Uliofanyika Katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Zanzibar.

Naibu Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Shamata Shaame Khamis akizungumza na kutowa nasaha zake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Mimi na Wewe, kwa ajili ya kutowa msaada wa kusaidia Wananchi wa Zanzibar, kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt. Abdallah Juma Mabodi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Zanzibar.  
Naibu Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Shamata Shaame Khamis, akikata utepe kuashiria kuzindua Taasisi ya Mimi na Wewe kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Naibu Waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Shamata Shaame Khamis akizindua Taasisi ya Mimi na Wewe kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.