Habari za Punde

Waziri wa Habari , Utalii na mambo ya kale akutana na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji ZBC

 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji  Zanzibar ZBC alipowatembelea katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo  Mjini Zanzibar.
  MKURUGENZI Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Aiman Duwe akizungumza machache na kumkaribisha Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo ili kuzungumza na Wafanyakazi wa ZBC katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo  Mjini Zanzibar.
 BAADHI ya Wafanyakazi wa wa Shirika la Utangazaji  Zanzibar ZBC  wakimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo alipowatembelea katika ukumbi wa Wasanii uliopo Rahaleo  Mjini Zanzibar.
  MTANGAZAJI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC  Redio Shekh Said Suleiman akitoa ushauri  na changamoto  juu ya ugumu wa kuandaa Vipindi vya Dini.
 MTANGAZAJI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC  TV  Msangu Said akizungumzia  changamoto na mafanikio katika majukumu ya kazi zao za kila siku (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.