Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar Ikulu leo. Mkutano wa Bango Kitita.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjhini Zanzibar
Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akisoma muhtasari wa Ripoti ya Utekelezaji kwa Mwaka 2017-2018 wakati wa Kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Mpango kazi wa mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Harusi Saidi Suleiman
Wakurugenzi  wa Idara mbali mbali katika  Wizara Afya wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara hiyo katika  Kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Maafisa wa Idara mbali mbali katika  Wizara Afya wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara hiyo katika  Kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Afya  katika  Kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Wakurugenzi  wa Idara mbali mbali katika  Wizara Afya wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara hiyo katika  Kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2018-2019 kilichofanyika leo  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 25/06/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.