Habari za Punde

TPA Tanga Yaibuka Mshindi Kwa Taasisi za Kiserikali Zilizoshiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Tanga.

Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii Japhet Hasunga kushoto akimkabidhi Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga na kumalizika hivi karibuni
Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akiwa na kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa yaliyokuwa yakifanyika Jijini Tanga akiwa na watumishi wa Bandari hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.