Habari za Punde

Unamkumbuka Mzee Huyu Muuza Magazeti wa Zamani Visiwani Zanzibar Akiendelea na Biashara Yake Maeneo ya Marikiti Darajani

Mfahamu mfanyabiashara maarufu wa Magazeti kisiwani Zanzibar Ndg.Abel Jafet akiwa katika kituo chake cha kazi katika eneo la marikiti kuu darajani Unguja akisubiri wateja kujipatia magazeti ya aina mbalimbali ili kuweza kupata habari kupitia katika magazeti.
Ndg. Abel Jafet ameaza kazi hiyo ya kuuza magazeti tokea mwaka 1977,mwezi wa  Febuari, lilipokuwa duka la matunda darajani Unguja kwa sasa amedumu na biasha hiyo kwa takriban miaka 41 hadi sasa. akifanyia biashara yake jirani na marikiti kuu darajani jirani na duka la nyama la serikali hapo mwazo Kwa Wauzaji wakongwe wa magazeti Zanzibar amebaki peke yake akiendelea na biashara hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.