Kijiko cha Kampuni ya Kichina inayojenga Mtaro Mkubwa wa kupitishia Maji ya Mvua katika maeneo ya Mpendae kwa Bint Hamrani Jangombe na Magomeni Unguja ukiendelea na ujenzi huo kwa kasi na kuunganisha mitaro hiyo ya magomeni na kwa Bint Hamrani, kama inavyoonekana picha Kijiko cha kampuni hiyo kikiwa katika uchimbaji katika eneo la Mpendae kikiendelea na kazi hiyo kuunganisha mtaro unaotokea magomeni.
Mafundi wa Kampuni ya Kichina inayojenga mtaro huo wakisuka vuma kwa ajili ya kuweka zege.
No comments:
Post a Comment