Habari za Punde

TAMWA Zanzibar Yatowa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Waandishi wa Habari na Blogger Zanzibar.Kuhusiana na Haki za Binaadamu. k

Muwezeshaji wa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Waandishi wa Habari na Waendesha Blogger Zanzibar.Dkt. Abdallah Mohammed, akiwasilisha Mada kuhusiana na uwajibikaji wa Haki za Binaadamu wakati wa kuripoti habari zao kupitia katika Mitandao ya Kijamii Blogi. Kuzingatia  wajibu na Sheria wakati wa kuripoti katika jamii.

Muwezeshaji wa Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Waendesha Blog Zanzibar Dkt. Abdallah Mohammed akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Haki za Binaadamu wakati wa mafunzo hayo ya Siku moja yaliofanyika katika ukumbi wa TAMWA Zanzibar Tunguu.
Waandishi wa habari wakifuatilia Mafunzo hayo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.