Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ashuhudia Sherehe za Kuukaribisha wa Kijadi Mwaka Kogwa Katika Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakisherehekea Sikukuu ya Maadhimisho ya Mwaka wa Kimila Mwaka Kogwa wakikizunguka kibanda huku wakiimba baada ya kuchomwa moto kuashiria kuadhimisha mila na utamaduni wao. Utamaduni wa Mwaka Kogwa umeaza tangu mwaka 875 Karne ya 8.Wakiwa katika uwanja maalum kwa ajili ya sherehe hizo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.