WAJASIRIAMALI wanawake Kisiwani Pemba wakiwa katika
kazi za vitendo za ufumaji wa mazulia, baada ya kupatiwa mafunzo na shirikal la
SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia, ili ziondokane
na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAJASIRIAMALI wanawake Kisiwani Pemba wakiwa katika
kazi za vitendo za utengenezaji wa Mikoba ya kisasa, baada ya kupatiwa mafunzo
na shirikal la SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia,
ili ziondokane na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Mikoba iliyotengenezwa na wasajiriamili
wanawake, waliopatiwa mafunzo ya utenganezaji wa mikoba hiyo kutoka kwa shirika
la SOS Pemba, katika utekelezaji wa mradi wa kuimarisha famialia, ili
ziondokane na umaskini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wajasiriamali wanawake Kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vitendo wakikoroga sabuni ya maji, baada ya kupatiwa mafunzo na shirikal la SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia, ili ziondokane na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment