Habari za Punde

Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo na Sebleni Wapokea Mkono wa Eid Al Hajj Kutoka Kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.

Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bi. Fatma Gharib Bilal akitowa maelezo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Mhe. Shadya Mohammed kuzungumza na kutowa Mkono wa Eid EAl Hajj kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa ajili ya Wazee hao wa Welezo Zanzibar. 
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar wakimsikiliza Naibu Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed, akitowa salami za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa wazee hao.  
Naibu Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa Mkono wa Eid Al Hajj akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Zanzibar.
NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto ZanzibarMhe. Shadya Mohammed akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Mzee wa Kijiji cha Wazee Welezo Zanzibar Mzee Rashid Salum Kasuka, alipofika katika makaazi yao kutoa mkono wa Eid akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akimpa mkono wa Eid Al Hajj Mzee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee.Ramadhani Mussa, akimwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
Katibu Mkuu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, Bi. Fatma Gharib Bilal, akimpa mkono wa Eid Al Hajj Mzee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee.Ramadhani Mussa, akimwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
 NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akizungumza na Wazee wa Sebleni akiwasilisha salamu za mkono wa Eid wa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
WAZEE wa Nyumba ya Wazee Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa salamu za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati akimuwakilisha katika hafla ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj katika makaazi yao seblen
WAZEE wa Nyumba ya Wazee Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa salamu za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati akimuwakilisha katika hafla ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj katika makaazi yao seblen
 NAIBU Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein
 Naibu Katibu Mkuu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bi. Mwanajuma Majid  akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein
Katibu Mkuu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bi. Fatma Gharib Bilal akiwasalimia na kuwaaga Wazee wa Nyumba wa Wazee Sebleni baada ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.