Robo fainali Kombe la FA Zanzibar imetoka baada ya vilabu nane vilivyotinga hatua hiyo kukutana na kamati teule ya ZFA.
Ratiba ya Micuano ya FA Zanzibar inasomeka :-
Jumatano 26/09/2018 Black Sailors vs Malindi.
Alhamis 27/09/2018 KVZ vs Polisi
Ijumaa 28/09/2018 Mpapa vs Raska zone
Jumamosi 29/09/2018 KMKM vs Mlandege
Michezo yote hiyo itachezwa saa 10:00 za jioni katika Uwanja wa Amaan.
Tumezungumza na Abubakar Khatib Kisandu Msemaji wa kamati teule ya ZFA akitupa maandalzi kuelekea michezo hiyo.
No comments:
Post a Comment