Habari za Punde

Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani

 MJASIARIAMALI Nathoo Abdullkarim Nathoo akiwaonesha Viongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, wakiongozwa na Afisa Mdhamini Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab na Afisa Mipango Omar Juma Ali, jinsi gani anavyofanya kazi zake kwa kutumia dhana za kizamani, wakati akichapisha fulana kwa kutumia kibao alichotengeneza mwenyewe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini  Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akiangalia utendaji wa kazi wa utengenezaji wa nembo na kudizaini vitu mbali mbali, kwa kutumia Komputa kutoka kwa mjasiriamali Nathoo Abdullkarim Nathoo wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.