Habari za Punde

Sukari ya magendo yakamatwa Pemba

 GARI ya mzigo ya ZSTC Pemba ikiwa imepakiwa sukari Polo 200 zenye tani 10 sawa na shilingi Milioni 14,800,000/=, ambazo zimekamatwa katika nyumba moja huko Makangale Mnarani Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ambazo zilikuwa zimefichwa zinazodaiwa kuingizwa nchini au kutoka nchini kwenda nchi za jirani kwa njia za Magendo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukamatwa kwa Paketi 200 za sukari katika nyumba moja huko Mnarani Makangale Wilaya ya Micheweni, zinazodaiwa kuingizwa au kutolewa nchini kinyume na sheria, kulia ni afisa mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Salehe Juma.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.