Habari za Punde

Ujenzi wa Marikiti ya Mbogamboga Waaza Ujenzi Wake Darajani Zenj.

 Ukarabati mkuu wa majengo iliokuwa marikiti Kuu wa mbogamboga darajari ukiaza ujenzi huo mkubwa wa ukarabati na ujenzi wa vibararaza vipya baada vya zamani kuchakaa na kubomoka likiwemo paa lake. Ujenzi huo unafanya na Manispa ya Zanzibar ili kuliweka soko hilo katika muonekana wa kisasa na kuweza kutowa huduma bora zaidi kwa wafanyabiashara wa eneo hilo wanaojishughulisha na biashara ya mbogambago na uchinjaji wa kuku. eneo hilo likiwa limezingira mabati ili kuendeleza ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.