Habari za Punde

Ujumbe Kutoka Jimbo la Mji wa Cles Nchini Italia Kutembelea Kisiwani Pemba

Mkuu wa Wilaya Chakechake Kisiwani Mhe. Rashid Hadid Rashid akizungumza na Ujumbe wa Wataalam kutoka katika Mji wa Cles nchini wafanya ziara kisiwani Pemba na kutembelea sehemu mbalimbali za Historia na kupata maelezo ya maeneo hayo.


WAJUMBE kutoka mji wa Cles nchini Itali wakipata maelezo juu ya maabara ya afya jamii Wawi Kisiwani Pemba, kutoka kwa Dk Shaalia Makame Ame wakanza kulia aliesimama

WAJUMBE kutoka mji wa Cles nchini Itali wakiongozwa na meya wa mji huo katikati Ruggero Mucchi wakiangalia maji wanayokunywa wanafunzi wa skuli ya ndagoni Wilaya ya Chake Chake wakati walipotembelea skuli hiyo, ujumbe huo kwa sasa unatekeleza mradi wa maji safi na salama katika skuli hiyo(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.