Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Atembelea Kituo Cha Watoto Yatima Pemba.

 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM -Taifa, Sienu  Subet Kamna, akitowa nasaha zake kwa Wazazi wa watoto Mayatima huko katika Ofisi ya Kitengo CCM Pemba, katika shamra shamra za wiki ya UWT inayofanyika kila ifikapo tarehe 4 /10 ya kila mwaka.
Baadhi ya watoto Yatima waliohudhuria katika shamra shamra za wiki ya UWT huko katika Ofisi ya kitengo CCM Pemba.

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa, Sienu Subet Kamna, akimkabidhi zawadi mtoto Yatima ikiwa ni shamra shamra za wiki ya UWT Tanzania.
Picha na Habiba Zarali -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.