Habari za Punde

Uzinduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizindua Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma,kutoka kushoto ni Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa, Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akimkabidhi Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa baada ya kuzindua mkakati huo, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma.katikati ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.