Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Awasili Uwanja wa Ndege wa Nachingwea.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, Novemba 17, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (wapili kushoto) wakiitazama ngoma ya Nsolopa iliyotubuizwa na Kikundi cha Mshikamano wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea mkoani Lindi
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Nachingwea wakati  alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea kwa ziara ya kazi wilayani humo, Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Rukia Muwango
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Nyamatula wilayani Nachingwea akiwa katika ziara ya kazi wilayani humo, Novemba 17, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.