Habari za Punde

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo Maliasili na Uvuvi Zanzibar Mhe.Dkt.Makame. Afanya Ziara Wilaya ya Micheweni Pemba.

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo Maliasili na Uvuvi Mhe. Dkt.Makame Ali Ussi akipata maelezo kwa Katibu wa kikundi cha Mapambazuko kinachojishughulisha na Kilimo pamoja mifugo huko Kisiwani Mianzini Wilaya ya Micheweni Pemba. 
Mwakilishi wa jimbo la Mgogoni Hamad Shehe Matar akitoa maelezo mbele ya Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi Mhe.Makame Ali Ussi wakati alipofanya ziara ya kutembelea jimbo hilo. 
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi Mhe.Makame Ali Ussi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa kikundi cha uzalishaji chunvi na ufugaji wa samaki Rashi Ali huko Kiungoni Wilaya ya Micheweni ambapoNaibu huyo alifanya ziara katika jimbo la Mgogoni. 

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi Zanzibar Mhe.Makame Ali Ussi akizungumza na wanaushirika wa ufugaji nyuki katika bonde la Tovuni Wilaya ya Micheweni Pemba. (Picha na Said Abdulrahaman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.