Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina inayojenga Barabara ya Kisasa kuazia Kwa Nyanya hadi Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiendelea na ujenzi huo kama inavyoonekani pichani wakiwa kazi katika eneo la Mahonda.
KAMATI YA BUNGE YAIPA KONGOLE WIZARA YA MALIASILI NA UTALII.
-
Na. Emmanuel Buhohela, Dodoma
Kamati ya kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Serikali
kwa kutatua kwa kiasi kikubwa changamoto ya upu...
25 minutes ago
0 Comments