Habari za Punde

Hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa Pemba


AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Katiba sheria utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba Massoud Ali Mohamed, akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo hayo, hafla iliyofanyika katika jengo la Taasisi ya Nyaraka Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya ndoa na kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo hayo, huko katika taasisi ya Nyaraka Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akimkabidhi cheti cha uhitimu wa mafunzo ya ndoa yaliyotolewa na Ofisi ya Mufti Pemba, mhitimu wa mafunzo hayo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Nyaraka Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.