Habari za Punde

Kampuni ya The Eleanor Foundation' Kujenga Vyoo Skuli Mbalimbali Zanzibar.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohamed Said (kushoto)  akimskiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya 'The Eleanor Foundation'  Bwana Ray Naluyaga ofisini kwake Mazizini alipofika kumtambulisha Mradi wa Ujenzi wa vyoo kwa Skuli mbali mbali zenye upungufu wa huduma hiyo, ambapo amesema mradi huo umeshaanza katika maeneo ya Chato na Biaramuro kwa Tanzania Bara na utaendelea Zanzibar kwa kuanza na Skuli tano kwa vyoo 20 kwa kila Skuli ambavyo vitakua na huduma kamili.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.