Habari za Punde

Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba

 KATIBU Mkuu Wizara ya Habari utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Khadija Bakari, akisoma taarifa ya Wizara hiyo upande wa Pemba, kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la wawakilishi Zanzibar, huko katika uwanja wa Gombani kabla ya kupitiza taarifa hiyo, hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
 INJINIA wa Ujenzi kutoka Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Ali Mbarouk akitoa maelezo juu ya ujenzi wa jengo la Ghorofa mbili la ZBC Mkoroshoni, kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wawanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi zanzibar wakati walipotembelea eneo hilo, hivi karibuni katika ziara yao.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)

INJINIA wa Ujenzi kutoka Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Ali Mbarouk  akiwaonyesha ramani ya ujenzi wa jengo la ZBC litakavyokuwa baada ya kumalizika, wajumbe   wa kamati ya Maendeleo ya Wawanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi zanzibar wakati walipotembelea eneo hilo, hivi karibuni katika ziara yao.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.