Habari za Punde

Kamati ya siasa mkoa wa Kaskazini Pemba yafanya ziara Bandari ya Wete

 MKUU wa shirika la Bandari Wete Hassan Hamad akitoa historia ya bandari ya Wete kwa wajumbe wa kamati ya siasa ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa zira ya kamati hiyo katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Hamad Ahmed Baucha akitoa maelezo juu ya mikakati ya serikali katika uiboresha bandari ya Wete, kwa wajumbe wa kamati ya siasa ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, walipotembelea vitengo vilivyomo ndani ya wizara hiyo kuangalia utekelezaji wa ilani ya CCM 2015/2020.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.