Habari za Punde

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Watowa Elimu Kwa Wahariri wa Vyombo Vya Habari Kisiwani Pemba

Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba Ndg.Amran Massoud Amran, akifungua mkutano wasiku moja wa wahariri na wasaidizi wahariri wa habari Kisiwani Pemba, huko katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi, mkutano ulioandaliwa na ZSSF Pemba
MWANASHERIA  kutoka ZSSF Mohamed Fakihi Mzee, akiwasilisha mada ya marekebisho ya sheria ya ZSSF ya mwaka 2016 kwa Wahariri na wasaidia wahariri wa vyombo vya habari Pemba, mkutano huo uliowafanyika Katika kiwanja cha Tibirinzi na kuandaliwa na ZSSF.
AFISA Uhusiano wa ZSSF Mussa Yussuf akitoa ufafanuzi wa maswali ya waandishi wa habari  baada ya kuulizwa, wakati wa mkutano wasiku moja juu ya marekebisho ya sheria ya ZSSF mwaka 2016
BAADHI ya wahariri na wasaidia wahariri wa vyombo vya habari Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wa siku moja juu ya marekebisho ya sheria ya ZSSF ya mwaka 2016, mkutano ulioandaliwa na ZSSF na kufanyika katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi.
MWANDISHI wa Habari Kutoka ZENJ FM Jafar Abdalla Ali, akiuliza swali wakati wakikao cha siku moja juu ya marekebisho ya sheria ya ZSSF ya mwaka 2016, mkutano uliofanyika Tibirinzi Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.