Habari za Punde

MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR ATOA TAKWIMU ZA BEI

Meneja Uchumi wa Benki kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi(kulia)akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar. 
 Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa takwimu za bei kwa waandishi wa Habari mbapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.