Habari za Punde

Wanafunzi wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari Lumumba waaswa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akizungumza na Wanafunzi wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Lumumba Zanzibar, wakati wakijiandaa  na Mitihani yao ya Taifa inayoaza leo kwa Watahinia wa Kidatu cha Sita Tanzania Nzima, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Lumumba Zanzibar. 
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akitowa nasaha zake kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wakiwa katika matayarisho ya Mtihani wao wa Taifa. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.