Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afika yafanyika SOS

 WATOTO wenye matatizo ya usikivu wa masikio (VIZIWI) wakiwa wamehudhuria katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afika, hafla iliofanyika katika viwanja vya SOS Mombasa (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico, akipata maelezo kutoka kwa wasanii wa kundi la (MATOFALI ARTS CREATION ZANZIBAR), kuhusiana na filamu inayozungumizia udhalilishaji watoto (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 Katibu Mkuu Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU), Mussa Omar Tafurwa, akipongeza Kupitiswa kwa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa mwaka wa fedha 2019 - 2020, kwa waandishi wa habari, sambamba na kutaka kuboreshwa kwa maslahi ya Walimu (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 Mkurugezi Mkuu Kijiji cha kulelea watoto SOS, Asha Salim Ali, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani, juu ya maadhimisho ya siku ya Mtotto  wa Afrika, sambamba na kauli mbiu ya mwaka huu “Haki za Mtoto kwanza”  (PICHA NA ABDALLA OMAR).
WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico, akihutubia katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afika, hafla iliofanyika katika viwanja vya SOS Mombasa (PICHA NA ABDALLA OMAR).
MWANANCHI akiwa ameambatana na watoto wadogo kuelekea katika viwanja vya SOS kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afika, hafla iliofanyika katika viwanja hivyo Mombasa (PICHA NA ABDALLA OMAR). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.