Habari za Punde

Serikali Yawapa Motisha Wanafunzi Bora, Shule zilizofanya Vizuri 2018

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na  utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha  Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.