Habari za Punde

Zoezi la uvunaji wa mpunga Bonde la Shinyanga Msaani, Wete Pemba

 WAPIGANAJI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Kisiwani Pemba wakishiriki katika zoezi la uvunaji wa mpunga huko katika bonde la Shinyanga Msaani Wilaya ya Wete,

.PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA.

 MKUU wa JKU Zoni ya Pemba luteni Kanali Hamran Rajab Mwalimu ( wa pili kutoka kushoto) akizindua zoezi la uvunaji wa mpunga kwa Kikosi hicho kwa msimu huu huko katika bonde la Shinyanga Msaani, Wilaya ya Wete,

PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.