Habari za Punde

Majumuisho ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba

 BAADHI ya watendaji Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Walimu wakuu wa skuli, wakuu wa vituo vya afya na watendaji kutoka baraza la Mji Mkoani, wakifuatilia , huko katika skuli ya Mohammed Juma Pindua.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akitoa majumuiyo ya Ziara yake kwa taasisi zilizogatuliwa kwa Wilaya ya Mkoani, kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Issa Juma Ali na Kushoto ni Katibu tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali, majumuisho hayo yamefanyika katika skuli ya Mohamed Juma Pindua .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.