Habari za Punde

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Afungua Mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria Nna Matokeo ya Ukimwi wa Mwaka 2016/17 Zanzibar

 Kaimu Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul Rauf Ramadhan Abeid akitoa hotuba ya makaribisho katika mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Mgeni Rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mihayo Juma Nhunga akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Mihayo Juma Nhunga akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Ukimwi Zanzibar Dk,Ahmed Mohamed Khatib akitoa maelezo katika  ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Muasilishaji mada kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Fahima Mohamed Issa akiwasilisha mada kuhusu Utangulizi na Mbinu za Utafiti katika  ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
 Mjumbe kutoka Kitengo Shirikishi Ukimwi,Homa ya Ini,Kifua kikuu na Ukoma Asha Ahmed Othman akiuliza maswali  katika  ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.


Kamishna kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Sheikh Mziwanda Ngwali Ahmed  akiuliza maswali  katika  ufunguzi wa mkutano wa Uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016-17 uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.