Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM KWA TRENI YA TAZARA AKITOKEA KWENYE SHEREHE ZA UWEKAJI JIWE LA MSINGI MRADI MKUBWA WA UMEME WA MW 2,115 RUFIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika stesheni ia Kisaki wakati akiondoka kwa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na dereva wa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa  TAZARA alipowasili stesheni ya Dar es salaam baada ya kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.