Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Awasili Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Njia Panda Wilayani Chato mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wafanyakazi wanaofanya kazi za ujenzi katika Kiwanja cha ndege cha Chato (hawaonekani pichani) wakati akiondoka eneo hilo mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Njia Panda Wilayani Chato mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.

Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoa Geita. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.