Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI TANZANIA TOKEA NCHINI MISRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, tokea nchini Misri, alipokua kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai 11.2019. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.