Habari za Punde

Maonesho ya Uzinduzi wa Mpango wa Kumalizi Kipindupindu Zanzibare Viwanja Vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.,toko,m

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati akitembelea banda la Elimu ya Afya, baada ya kupata maelezo kutoka kwa Afisa wa Kitengo cha Elimu ya Afya cha Wizara ya cAfya Zanzibar. Bi.Halima Ali Khamis , mwenye miwani. ,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa wa Kitengo cha Elim u ya Afya cha Wizara ya Afya Zanzibar. Halima Ali Khamis, wakati akitembelea mabanda ya maonesho, katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuniu Jijini Zanzibar.kilia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa Koica , akitowa maelezo jinsi ya utumiaji wa dawa kwa ajili ya usafishaji wa maji kwa matumizi ya Wananchi wanati wa Uzinduzi wa Mpango wa kumaliza kipindupindu uliozinduliwa leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Ndh. Mussa Ramadhan Haji, wakati akitembelea banda la ZAWA katika viwanja vya  ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo. akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza swali wakati akitembelea banda la Idara ya Mazingira Zanzibar, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi. akisikiliza Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ndg. Alawi Haji Hija.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza swali wakati akitembelea banda la Idara ya Mazingira Zanzibar, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi. akisikiliza Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ndg. Alawi Haji Hija.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) Ndg. Makame Ali Makame, akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mitaro ya Maji machafu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar, wakati wa maonesho ya Uzinduzi Mpango wa Kumaliza Kipindupindu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiangalia picha za ujenzi wa mitaro ya maji machafu iliojengwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Zanzibar, lupitia Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) wakipia maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi huo (ZUSP) Ndg. Makame Ali Makame, wakati wa maonesho ya Uzinduzi Mpango wa Kumaliza Kipindupindu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza swali wakati akitembelea banda la Mwadi wa Huduma za Jamii Mijini, akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi kulia. wakati wa maonesho ya Uzinduzi Mpango wa Kumaliza Kipindupindu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakimsikiliza Afisa wa Maji na Usafi wa Mazingira wa UNICEF Ndg. Marko Msambezi, akitowa maelezo, wakati wa maonesho ya Uzinduzi wa Mpango wa kumaliza Kipindupindu Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.