Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas
akifafanua jambo katika ziara yake ya kutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji
la Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Itifaki,Uhusiano na Umma, Ndg.Gaston
Makwembe akifafanua jambo katika ziara iliyofanywa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan
Abbas yakutembelea kituo cha Radio City Fm,kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la
Dar es Salaam.
Dkt. Hassan Abbas akifafanua jambo katika kitengo cha
utalii cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Dkt. Hassan Abbas akiwafafanulia jambo wakati akizungumza na Madaktari wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam.akiwa katika ziara yake ya kikazi.
Dkt.Hedwiga Swai akielezea mfumo wa matumizi ya mashine ya Imaging Resonance Magnetic (IMR)
katika chumba maalum cha uchunguzi wa magonjwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Patrick akioneshamfumounaotumikakatikaHospitaliya
Taifa
yaMuhimbiliwakuingizamajinanamaelezoyawagonjwanampangowakuwahudumiakupitiakompyuta.
Mtaalam wa kutumia CT scan mashine akielezea jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi na idadi ya watu inayohudumia kwa siku katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment