Habari za Punde

Wasanii Kisiwani Pemba Wazungumza na Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo leo.

AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Bi.Fatma Hamad Rajab akizungumza katika kikao cha Waziri wa Wizara hiyo na wasanii wa sanaa mbali mbali Pemba
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akizungumza na wasanii wa sanaa mbali mbali kisiwani Pemba, juu ya kujuwa changamoto zao katika tasnia ya sanaa na utamaduni.
(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.