Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akimuwakilisha Rais Magufuliu Katika Mkutano wa AALCO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe.  Augustine  Mahiga alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es salaam Leo Octoba 21, 2019 kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku tano wa  58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Palamagamba Kabudi alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es salaam Leo Octoba 21, 2019 kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku tano wa  58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa  58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo


Baadhi ya Washiri wa Mkutano wa siku tano wa  58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao ni Viongozi wa Serikali, Mawazi, Wanasheria, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi kutoka Nchi 48 Wanachama wa Shirika hilo wamsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa  58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.