Habari za Punde

Taasisi ya Milele Foundation yakabidhi vifaa vya kusomea Shehia ya Mahuduthi kisiwani Pemba

 MKUU wa Miradi ya Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Khadija Ahmed Shariff, akizungumza katika mkutano wa wananchi, walimu na manafuzi wa skuli ya Msingi Mahuduthi, kabla ya kukabidhi mikoba na vifaa vyengine vya kusomea, ikiwa ni utekelezaji wamradi warudi skuli kumenonga.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) ,  
 OFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Massoud Ali Mohamed, akizungumza na wananchi wa shehia ya mahuduthi na wanafuzi wa skuli hiyo, wakati wa hafla ya kukabidhi mikoba na vifaa mbali mbali vya kusomea,ikiwa ni utekelezaji wa mradi warudi skuli kumenoga unaosimamiwa na Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 OFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Massoud Ali Mohamed, akimkabidhi mkoba ukiwa na vifaa mbali mbali vya kusomea, mmoja wa wanafunzi wa skuli ya msingi Mahuduthi, ikiwa ni utekelezaji wa mradi warudi skuli kumenoga unaosimamiwa na Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
OFISA Mdhamini Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Massoud Ali Mohamed, akivishwa kofia iliyotengenezwa kwa makundi na mmoja wa wanafunzi wa skuli ya Msingi Mahuduthi, mara baada ya hafla ya kukabidhi mikoba ikiwa ni utekelezaji wa mradi warudi skuli kumenoga unaosimamiwa na Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.