Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Akiwa Kijijini Nandagala Alikozaliwa Wilaya ya Ruangwa.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wapiga kura wake wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji alichozaliwa cha Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimnyanyua mtoto Safina Selemani (3) wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji alichozaliwa cha Nandagala wilayani  Ruangwa, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.