Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya kale Khatibu Juma Mjaja akiwa na Viongozi wenzake wakisubiri usafiri kwa ajili ya kwenda kuzindua Mto wa asili uliyoanzia Kijiji cha Furaha hadi Vitongoji Kisiwani Pemba.
Viongozi na Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya kale wakiwa ndani ya Fiber kwa ajili ya Uzinduzi wa Mto wa Asili ulioanzia Kijiji cha Furaha hadi Vitongiji Kisiwani Pemba.
Wafanyakazi wa Wuzara ya Habari, Utalii na Mambo ya kale Pemba wakimsilikiza Mkuuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemmed Suleiman wakati akizindua Mto wa Asili ulioanzia Kijiji cha Furaha hadi Vitongoji Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemmed Suleiman akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya kale mara baada ya kuzinduwa Mto wa asili ulioazia Kijiji cha Furaha hadi Vitongoji Kisiwani Pemba
Picha na Miza Othman -Maelezo Pemba.
No comments:
Post a Comment